回到坦桑尼亚论坛

Ulinzi na usalama.

发表在 坦桑尼亚论坛

unadhani jukumu la ulinzi na usalama wa kila raia ni jukumu la polisi pamoja na makampuni ya ulinzi? nafasi ya raia katika kuhakikisha swala la ulinzi na usalama linapo namna gani. je unalitekeleza hilo kwa namna gani?

发表一条回复